Ukipima chanya au ukaribiana na mtu ambaye ana covid-19
Ikiwa umejipima nakupata matokeo chanya yanayo onyesha COVID-19, utahitaji kujitenga, ambayo inamaanisha kubakia nyumbani na kujitenga mbali na wengine, kwa siku tano.
Ikiwa umekaribiana na mtu ambaye ana ugonjwa wa COVID-19, NA hadi sasa umekamilisha chanjo zote za COVID-19 hau-itaji kuji-tenganisha.
Hata hivyo, tafahali, nenda upimwe ikiwa una dalili za covid. Hii ina maana umesha pokea dozi zote mbili za Pfizer au Moderna na shindano nyongeza au chanjo ya Johnson & Johnson na shindano nyongeza. Ikiwa umepata dozi zako mbili za Pfizer au Moderna miezi mitano iliyopita au shindano ya Johnson na Johnson miezi miwili iliyopita, ina maana umeshakamilisha.
Ikiwa umekuwa umekaribiana na mtu aliye na COVID-19 na hauna dalili, unapaswa kupima ikiwa hauja kamililisha chanjo zako za COVID-19. Unaweza kupima hadi siku ya 5 baada ya kuwasiliana kikaribu - ama kwa kutumia vipimo viwili vya nyumbani vilivyochukuliwa siku ya 4 na siku ya 5 au kwenda kliniki kupiwa kwa njia wa PCR.
Ni muhimu kuelewa mahitaji yako ya afya na masaibu ya wale wa watu unaokaribiana nao wakati wote ili uweze kuamua kuchukua hatua za kujilinda mwenyewe na wengine.
Tunaweza kujikinga dhidi ya COVID-19 kwa kuchagua kuvaa barakoa, kupata chanjo, kupimwa inapo-hitajika, na kuitisha matibabu. Ikiwa umepata tokeo linalo onyesha uwepo virusi, zungumza na daktari wako kuhusu matibabu mara moja.
----------------------------------------------
If you test positive for COVID-19, you will need to isolate, which means to stay home and away from others, for five days.
If you have been in close contact with someone who has COVID-19, AND you are up to date on your COVID-19 vaccinations you do not need to isolate. But, please get tested if you develop symptoms of covid. Up to date means you got your two doses of Pfizer or Moderna and a booster shot or got a Johnson & Johnson vaccine and a booster shot. If you got your two doses of Pfizer or Moderna in the last five months or a Johnson and Johnson shot within the last two months, you are also up to date.
If you have been in close contact with someone with COVID-19 and don't have symptoms, you should get a test if you are not up to date on your COVID-19 vaccines. You can test 5 days after your close contact — either with two at-home tests taken on day 4 and day 5 or go to a clinic for a PCR test.
It is important to understand your health needs and those of the people you spend time with so you can choose to take steps to protect yourself and others.
We can protect ourselves against COVID-19 by choosing to wear a mask, get vaccinated, get tested when needed, and asking for treatment.
If you do test positive, talk to your doctor about treatment right away.